Loading...
Mume wa Mama Diamond anayejulikana Kama Maisara Shamte ameibuka na kumfungukia mazito mke Wake Mama Diamond.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Shamte amefunguka na kueleza Jinsi gani anavyompenda bibi huyo wa wajukuu watano na kusema amemchaganya Mpaka anataka kulipa tena mahari:
"Yaani kuna wakati nakuangalia Mama Dangote halafu nasema mbona mahari nimelipa kidogo halafu nimeishia kupata kitu kikubwa sana basi naishia tu kusema Asante Mungu, Yaani Ikifika asubuhi natamani kukuamsha uende shule kwa Jinsi ulivyofanana na vitoto vya shule ".
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MUME WA MAMA DANGOTE AFUNGUKA MAZITO
Reviewed by By News Reporter
on
2/01/2019 09:39:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: