Loading...
Jeshi la Marekani kwa ushirikiano na utawala wa Libya unaoungwa mkono kimataifa limeendesha operesheni Kusini mwa Libya.
Opereheni hiyo imetajwa kuwa walengwa ni magaidi wa kundi la Al Qaida ambao wanajaribu kujikusanya katika eneo hilo.
Kulingana na mshauri wa uongozi wa Libya unaotambulika kimataifa Muhammed es Sallak, shambulizi hilo la anga limelenga kambi za magaidi wa al Qaida Ubari Kusini mwa Libya.
Mshambulizi kama hayo yamewahi kuendeshwa na jeshi la Marekani dhidi ya ngome za wangambo wa Daesh nchini Libya.
Ifahamike kuwa miaka minane inakaribia tangu kupinduliwa na kuuawa kwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi na kuvamiwa na jeshi la Magharibi.
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MAREKANI WASHAMBULIA KAMBI ZA MAGAIDI WA AL QAIDA NCHINI LIBYA
Reviewed by By News Reporter
on
2/15/2019 06:20:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: