Loading...
Mkutano wa pili baina ya rais wa Marekani Donald Trump na kiongozi wa Korea kusini Kim Jong-un umetangazwa utafanyika Februari 27 na 28 nchini Vietnam.
Rais Trump alisema amefanya juhudi kubwa kutafuta utatuzi wa kidiplomasia katika mgogoro wa rasi ya Korea, na matunda yameanza kuonekana.
Rais Trump alisema katika matunda ya juhudi hizo ni pamoja na kuachiwa mateka wa Kimarekani, kusimamishwa kwa majaribio ya silaha za kinyuklia. Aliongeza kwamba kama yeye asingekuwa rais anahisi kwamba hivi sasa Marekani ingekuwa katika vita kubwa na Korea kaskazini.
Na Neema Joshua.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

TRUMP NA KIM KUKUTANA TENA VIETNAM, TAREHE RASMI YATAJWA
Reviewed by By News Reporter
on
2/06/2019 11:14:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: