Loading...
Mshtakiwa ambaye alijulikana kwa jina la Baresh, alimpoteza mkewe Jumantri, aliyekuwa akiugua kwa muda mrefu, ingawaje baba mwanamke wake , Nedi Sito, alihisi kuwa kifo cha mwanawe kilisababishwa na mumewe.
Dundiika News ilibaini mnamo Alhamisi, Machi 28, kuwa, Mzee Sito kutoka eneo la Maron Kidul nchini Indonesia, alichukua hatua hiyo baada ya kupata fununu kuwa mkaza mwana wake ana mtarimbo mkubwa ajabu na vile vile ana umahiri mkubwa mno kitandani.
Kulingana na ripoti ya gazeti la Daily Mail la nchini Uingereza, Sito mwenye umri wa miaka 55, katika harakati ya kubaini kifo cha mwanawe wa miaka 23, alifika kituo cha polisi ili kumshtaki Baresh kwa mauaji.
Mkaza mwana huyo ambaye alikuwa mwingi wa majonzi, alijiwasilisha katika kituo cha polisi Februari 2019 akiwa ameandamana na mlalamishi pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
Papo hapo, Baresh alilazimishwa kuivua suruali yake na kuwaonesha jamaa hao uume wake ili kudhibitisha iwapo madai ya Mzee Sito ni ya kweli au la.
Baada ya kisa hicho, afisa mkuu wa uchunguzi wa jinai alitoa uamuzi wake na kusema kuwa 'transfoma' ya jamaa huyo haikuwa kubwa kiasi cha kusababisha kifo cha Jumantri.
Hata hivyo, ilibainika kuwa, kifo chake Jumantri kilisabaishwa na Kifafa, ugonjwa ambao unasabababishwa na seli za mishipa ya fahamu zilizopo kwenye ubongo kutoa umeme[impulses] kwa wingi kuliko kawaida na kwenda kwenye misuli na sehemu zingine za mwili, na kumsababishia mtu kupoteza fahamu.
Hatimaye, Mzee Sito hakuwa na budi ila kumuomba msamaha mkaza mwanake kutokana na aibu aliyokuwa amemsababishia.
Wawili hao walisameheana na kuodoka mahali hapo kwenda kuendelea na mipango ya kumzika marehemu.
Na Paskali Joseph.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
JAMAA ASHTAKIWA KWA UUME MKUBWA
Reviewed by By News Reporter
on
3/29/2019 07:42:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: