Loading...

HARMONIZE 'KONDE BOY' KUJIBEBEA MZIGO JUMLA JUMLA

Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo uitwao 'Kainama' amevisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi, Sarah.

Muimbaji huyo kutokea WCB, ameweka video kwenye
Loading...
ukurasa wake wa Instagram ikimuonyesha akimvisha Sarah pete hiyo, huko wote wawili wakiwa na nyuso zenye furaha.

Utakumbuka kuwa tukio hilo linakuja siku kadhaa mara baada ya Sarah kuonekana kwenye video ya wimbo wa Harmonize unaokwenda kwa jina la Niteke ambao unapoatika katika EP yake aliyoitoa mwaka huu yenye nyimbo nne pekee. 
Na Fatma Pembe.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
HARMONIZE 'KONDE BOY' KUJIBEBEA MZIGO JUMLA JUMLA HARMONIZE 'KONDE BOY' KUJIBEBEA MZIGO JUMLA JUMLA Reviewed by By News Reporter on 4/04/2019 10:14:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.