Loading...

NYUMBA AMBAYO SHAKE SPEAR ALIANDIKA 'ROMEO NA JULIETA' YATAMBULIWA

Loading...
Nyumba ambayo mtunzi wa mashairi na michezo ya kuigiza maarufu wa Uingereza, William Shake Spear aliaandaa moja ya kazi yake maarufu kabisa ya Romeo na Julieta yafahamika.

Shirika la habari la uingereza la BBC limeripoti kwamba , mwanahistoria wa sanaa za kuigiza, kwa kulinganisha dalili mbalimbali ameweza kubaini nyumba iliyopo jijini London  ambayo Shakespear aliishi kipindi cha mwaka 1597 na 1598.

Marsh ambaye aliendesha utafiti huo kwa muda wa karibu miaka 8 alibaini kwamba Shake Spear aliishi mashariki mwa London katika mtaa wa Bishopgate barabara ya Great St Helen nyumba namba 35.

Nyumba hiyo ambapo ndipo mchezo wa kuigiza wa Romeo na Julieta ulitungwa kwa hivi sasa ni eneo la kiofisi.
Na Haika Gabriel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
NYUMBA AMBAYO SHAKE SPEAR ALIANDIKA 'ROMEO NA JULIETA' YATAMBULIWA NYUMBA AMBAYO SHAKE SPEAR ALIANDIKA 'ROMEO NA JULIETA' YATAMBULIWA Reviewed by By News Reporter on 4/14/2019 09:38:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.