Loading...

TAARIFA KWA UMMA: YAHUSU KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU CHINI

Loading...
Mtambo huo utazima kwa wastani wa saa 24 kuanzia leo Jumatano 24/04/2019 hadi kesho Alhamisi 25/04/2019.

Sababu ya kuzima kwa mtambo wa Ruvu Chini ni Kufanya maboresho ya mfumo wa mambomba ya Maji katika bomba kuu la kupooza Maji la mtambo wa Ruvu Chini.

Maeneo yatakayoathiriwa kwa kuzimwa kwa mtambo huo ni kama:-

Mji wa Bagamoyo, Vijiji vya Mapinga, Kerege na Mapunga, Bunju, Boko, Tegeta, Kunduchi, Salasala, Jangwani, Mbezi Beach na Kawe, Mlalakuwa, Mwenge, Mikocheni, Msasani, Sinza, Manzese, Mabibo, Kijitonyama, Kinondoni, Oysterbay, Magomeni, Upanga, Kariakoo, City Centre, Ilala, Ubungo Maziwa, Kigogo, Mburahati, Hospitali ya Rufaa Muhimbili, Chang'ombe na Keko.
Na Vicky Baraka.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
TAARIFA KWA UMMA: YAHUSU KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU CHINI TAARIFA KWA UMMA: YAHUSU KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU CHINI Reviewed by By News Reporter on 4/24/2019 07:54:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.