Loading...

HATIMAYE MWILI WA BABA YAKE NA RAIS WA DR CONGO KUZIKWA BAADA YA KUKAA KWA MUDA MREFU BILA KUZIKWA

Loading...
Hatimae mwili wa aliyekuwa kiongozi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Etienne Tshisekedi, utarejeshwa mjini Kinshasa Alhamisi ijayo kwa ajili ya mazishi ya kitaifa.

Tshisekedi, baba wa rais wa sasa wa Kongo, Felix Tshisekedi alifariki dunia mjini Brussels, Ubelgiji miaka miwili iliyopita na alikuwa bado hajazikwa kutokana na tofauti za kisiasa nchini Kongo.

Familia ya Tshisekedi na chama cha UDPS vinaelezea kwamba mwili wa Etienne Tshisekedi utazikwa Jumamosi ya Juni 1, huku maombolezo yanatarajiwa kufanyika kwa kipindi cha siku mbili mjini Kinshasa.
Na Catherine Kisese.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
HATIMAYE MWILI WA BABA YAKE NA RAIS WA DR CONGO KUZIKWA BAADA YA KUKAA KWA MUDA MREFU BILA KUZIKWA HATIMAYE MWILI WA BABA YAKE NA RAIS WA DR CONGO KUZIKWA BAADA YA KUKAA KWA MUDA MREFU BILA KUZIKWA Reviewed by By News Reporter on 5/23/2019 07:59:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.