Loading...

USALITI NA MAPENZI: MWANAMKE MMOJA WA NCHINI NIGERIA ANASA KADI YA BENKI YA MUMEWE IKIFANYA MALIPO KATIKA DUKA LAKE NA KIMADA WA MUMEWE... PATA STORI KAMILI

Loading...
Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, jina halikitajwa imeripotiwa kusalitiwa na mumewe na kusemekana mumewe ana kimada nje na anataraji kupata nae mtoto.

Mwanamke huyo aligundua hilo baada mwanamke mmoja aliyesemekana ni mjamzito alipofika dukani kwake na kuanza kufanya manunuzi ya nguo na vitu vya watoto vyenye thamani ya zaidi ya laki nne (pesa za Tanzania), lulingana na mtumiaji wa Facebook Mabel Agbenyo ambaye ametupa mchapo kamili.

Baada ya kufanya manunuzi hayo aliulizia mashine ya malipo kutumia kadi ya benki lakini kadi ilionyesha inamilikiwa na mume wa mmiliki wa duka hilo, mwenye duka baada ya kumuuliza maswali kadhaa akadai kuwa yeye na mchumba wake huyo wataoana baada ya mtoto wao kuzaliwa.

Mtoa ripoti anasema yule mwanaume ajarudi toka jana wala kupiga simu, kwahiyo mwanamke anasubiri mwisho wa picha.
Na Haika Gabriel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
USALITI NA MAPENZI: MWANAMKE MMOJA WA NCHINI NIGERIA ANASA KADI YA BENKI YA MUMEWE IKIFANYA MALIPO KATIKA DUKA LAKE NA KIMADA WA MUMEWE... PATA STORI KAMILI USALITI NA MAPENZI: MWANAMKE MMOJA WA NCHINI NIGERIA ANASA KADI YA BENKI YA MUMEWE IKIFANYA MALIPO KATIKA DUKA LAKE NA KIMADA WA MUMEWE... PATA STORI KAMILI Reviewed by By News Reporter on 5/12/2019 07:26:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.