Loading...

TAIFA LINALOLIPA WAFANYAKAZI MISHAHARA MARA 2 KWA AJILI YA RAMADHANI

Loading...
Wafanyakazi nchini Indonesia hulipwa mshahara mara mbili katika mwezi wa Ramadhan kuwawezesha kufurahia sikukuu ya Idi ambayo ni moja ya likizo ndefu zaidi nchini humo.

Kila mwaka nchini Indonesia unapofika mwezi wa Ramadhan wafanyakazi hulipwa mshahara mara mbili kuwawezesha wafanyakazi hao na familia zao kufuraia mwezi huo.

Katika nchi hio ambako umoja wa familia unapewa umuhimu mkubwa  na vile sikukuu ya Idi ni katika likizo ndefu, wafanyakazi hulipwa mshahara mara mbili ili waweze kusheherekea sikukuu vizuri.

Indonesia nchi yenye idadi ya watu wapatao milioni 260, ni nchi ya nne duniani kwa idadi kubwa ya watu. Asilimia 87 ya wakaazi wa nchi hiyo ni waislamu, asilimia 10 ni wakristo, asilimia 1.7 ni wahindu huku asilimia 1.3 ni imani nyingine zilizobaki.
Na Fatma Pembe.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
TAIFA LINALOLIPA WAFANYAKAZI MISHAHARA MARA 2 KWA AJILI YA RAMADHANI TAIFA LINALOLIPA WAFANYAKAZI MISHAHARA MARA 2 KWA AJILI YA RAMADHANI Reviewed by By News Reporter on 5/12/2019 06:40:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.