Loading...

BOTSWANA SASA YARUHUSU NDOA ZA MASHOGA

Loading...
Wapenzi wa jinsia moja nchini Botswana wamepata afueni baada ya mahakama kubatilisha sheria iliyokuwa ikipinga ushoga na usagaji 

Habari hizi zilipokelewa vema na wanaharakati ambao wamekuwa wakitetea mapenzi kati watu wa jinsia moja na kusema hatimaye haki imewatendekea. 

Aidha, mahakama ya Botswana kwenye uamuzi wake imesema, hayapo manufaa yoyote kuwaadhibu wapenzi wa jinsia moja kwani hivyo ndivyo walivyo na kukosa kuwatendea haki ni kutokuwaheshimu. 

Dundiika News inafahamu kuwa Angola ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuhalalisha mapenzi kati ya watu wa jinsi moja mwaka wa 2019.
Na Richard Owino.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
BOTSWANA SASA YARUHUSU NDOA ZA MASHOGA BOTSWANA SASA YARUHUSU NDOA ZA MASHOGA Reviewed by GEOFREY MASHEL on 6/12/2019 08:28:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.