Loading...

FAHAMU VITU VINAVYOATHIRI MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU NA MADHARA YAKE

Loading...
1. Uvutaji Wa sigara
2. Ulevi
3. Unene kupita kiasi
4. Ukosefu Wa mazoezi
5. Uhaba Wa virutubisho kama madini ya zinc na calcium
6. Msongo Wa mawazo
7.Vyakula Vya mafuta na kemikali mbalimbali kama pizza,soda,keki,n.k

Madhara ya vitu vinavyoathiri mzunguko wa damu

Shida kubwa inayotokea ni Kuziba kwa mishipa ya damu ambapo husababisha yafuatayo

>> Mgonjwa ya Moyo(Coronary heart diseases) kama Moyo kuwa mpana,kwenda mbio,kifua kubana,Maumivu makali ya kifua( angina).presha ya kupanda na kushuka,stroke( kiharusi).

>> Mengine ni Miguu Kuwaka moto,Maumivu ya viungo,misuli kukaza,macho kupata shida,Maumivu wakati wa Hedhi,n.k
Na Yusufu Juma.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
FAHAMU VITU VINAVYOATHIRI MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU NA MADHARA YAKE FAHAMU VITU VINAVYOATHIRI MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU NA MADHARA YAKE Reviewed by GEOFREY MASHEL on 6/21/2019 07:04:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.