Loading...
Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa awatolea wito viongozi wa kata kuimarisha usalama katika nyumba za ibada baada ya shambulizi la Alhamisi.
Waziri wa mambo ya ndani ya Ufaransa Chistophe Castaner awatolea wito viongozi wa kata kuimarisha usalama katika nyumba za ibada baada shambulizi lililolenga mskiti wa Brest.
Shambulizi hilo limelenga mskiti huo Alkhamis majira ya mchana.
Watu wawili wamejeruhiwa katika shambulizi lililotekelezwa katika mskiti unaopatikana katika mtaa wa Pontanezen.
Katika tukio hilo, watu wawili akiwemo imam wamejeruhiwa.
Mtu alieendesha shambulizi hilo na kukimbia amekutwa amefariki karibu ya gari lake majira ya jiano, uchunguzi umeanzishwa.

Na Catherine Kisese.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
IMAM WA DINI YA KIISLAMU AJERUHIWA KATIKA SHAMBULIZI DHIDI YA MSIKITI UFARANSA
Reviewed by By News Reporter
on
6/29/2019 06:45:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: