Loading...

WATU 43 WAFARIKI KATIKA MGODI WA SHABA NCHINI DR CONGO

Loading...
Watu 43 wamefariki katika ajali iliotokea katika mgodi wa shaba Alhamisi Jamhuri  ya Kidemokrasia ya Kongo.

Hapo awali taarifa zilikuwa zimefahamisha kuwa watu 34 ndio waliofariki katika  ajali hiyo Alhamisi.

Taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari DRC zimefahmisha kuwa idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya ardhi katika mgodi wa madini ya shaba imeongezeka na kufikia watu 43.

Ajli hiyo imetokea katika mgodi wa madini ya shaba unaopatikana katika mji wa Kolwezi katika mgodi ambao unamilikiwa na shirika la Uingereza la Kamoto Copper Company.
Na Geofrey Okechi.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
WATU 43 WAFARIKI KATIKA MGODI WA SHABA NCHINI DR CONGO WATU 43 WAFARIKI KATIKA MGODI WA SHABA NCHINI DR CONGO Reviewed by By News Reporter on 6/29/2019 06:57:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.