Loading...
Mkuu wa majeshi na rais wa kikanda nchini Ethiopia Jenerali Seare Mekonnen amefariki dunia hii jana Jumapili Juni 23
Mekonnen aliuawa kwa kupiga risasi na mlinzi wake katika mji mkuu wa Addis Ababa
Kulingana na taarifa tulizozipokea hapa Dundiika News, Jenerali Mekonnen aliuawa pamoja na mshauri wake mkuu wakijaribu kuzuia mapinduzi dhidi ya utawala nchini humo.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.

Na Fatma Pembe.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
TANZIA: MKUU WA MAJESHI WA ETHIOPIA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MLINZI WAKE
Reviewed by By News Reporter
on
6/24/2019 06:32:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: