Loading...

IDADI YAFIKIA MILIONI 1 WALIOENDA KUFANYA HIJA SAUDIA

Loading...
Takriban watu milioni moja wameenda Saudi Arabia kwa ajili ya kufanya Hija.

Idadi hiyo imetolewa na shirika la habari la Saudi Arabia SPA.

Kulingana na shirika la habari la Saudi Arabia (SPA), idadi ya wale ambao wamekwenda katika nchi takatifu kufanya ibada ya Hija ni karibu milioni 1.

Kulingana na takwimu rasmi, watu milioni 2,371,000 675 walifanya ibada ya Hija mwaka jana.

Mwaka huu msimu wa Hija utaanza katika siku za kwanza za mwezi  Agosti.

NCHI WAISLAMU WALIOZULIWA KUHIJ

Waislamu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wazuiliwa  na mamalka ya Suadia kushiriki katika ibada ya Ijja ya mwaka 2019 inayotarajiwa kufanyika Agosti.

Uamuzi huo umeachukuliwa na mamlaka ya Saudia kutokana na  janga la ebola  Mashariki mwa Jmahuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kiongozi wa taasisi ya waislamu JK Kongo sheikh Ali Mwinyi amesema kuwa ni kwa huzuni kubwa wamepokea taarifa hiyo ambayo imefahamisha kuwa mamlaka  husika Suadia haitotoa visa kwa raia yeyote kutoka JK Kongo kushiriki ibada ya hijja ya mwaka 2019.
Na Haika Gabriel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
IDADI YAFIKIA MILIONI 1 WALIOENDA KUFANYA HIJA SAUDIA IDADI YAFIKIA MILIONI 1 WALIOENDA KUFANYA HIJA SAUDIA Reviewed by By News Reporter on 7/30/2019 07:19:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.