Loading...
Mwalimu mmoja kutoka Ghana ameaga dunia saa chache tu kabla ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa dhati
Pearl Sedinam Lulu alitarajiwa kufanya harusi na mpenziwe Kosi Wampah Jumamosi Julai 6, 2019 ila mambo hayakwenda jinsi yalivyopangwa.
Kwa mujibu wa taarifa za PrimeNewsghana.com, harusi hiyo ilikuwa ifanyike siku moja tu baada ya wapenzi hao kufanya harusi ya kitamaduni.
Imeripotiwa kuwa Lulu alilalamika kuhusu maumivu ya kichwa alipotoka kwenye saluni ila alifariki dakika chache kabla ya kutibiwa.
Hata hivyo, haijabainika hasa chanzo cha kifo cha kipusa huyo.

Na Daudi Ndimbo.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
INASIKITISHA SANA! MWALIMU AFARIKI DUNIA SAA 24 KABLA YA HARUSI YAKE
Reviewed by By News Reporter
on
7/09/2019 08:22:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: