Loading...

TANZIA: MUIGIZAJI MKONGWE ZANZIBAR AFARIKI DUNIA

Loading...
Muigizaji mkongwe Zanzibar Halikuniki amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.

Halikuniki alipata umaarufu mkubwa katika sanaa ya maigizo kutokana na umahiri wake wa kuchekesha hivyo kuwa kivutio kikubwa katika maigizo ya ya televisheni, viwanja vya sikukuu na hata matangazo ya kibiashara.

Halikuniki anatarajiwa kuzikwa saa 4 asubuhi hii kijijini kwao Donge Mchangani.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, AMINA.
Na Fatma Pembe.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
TANZIA: MUIGIZAJI MKONGWE ZANZIBAR AFARIKI DUNIA TANZIA: MUIGIZAJI MKONGWE ZANZIBAR AFARIKI DUNIA Reviewed by By News Reporter on 7/07/2019 10:38:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.