Loading...

HAMISA MOBETO MAPENZI MUBASHARA NA MPENZI WAKE MPYA

Loading...
Hamisa Mobeto akipigwa busu na mpenzi wake mpya
Mzazi mwenzake na msanii Diamond Platinumz, mwanamitindo Hamisa Mobeto ameonekana kupitia mtandao wa Instagram akipigwa busu la huba ana anayedaiwa kuwa mpenzi wake mpya.

Hawezi kutupilia mbali furaha yake kwa kushinda kesi aliyomfungulia mzazi mwenza kwa ajili ya kumpatia huduma mtoto wao aitwaye Abdul Nassib.

Mwanamitindo huyo alionekana akitabasamu baada ya kupigwa busu la huba na aliyemuita mpenzi wake.
HAMISA MOBETO MAPENZI MUBASHARA NA MPENZI WAKE MPYA HAMISA MOBETO MAPENZI MUBASHARA NA MPENZI WAKE MPYA Reviewed by By News Reporter on 2/13/2018 08:54:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.