Loading...

STAA KHLOE KARDASHIAN KARIBU ANAJIFUNGUA

Loading...
Khloe Kardashian alienda kula chakula cha mchana jana Jumatatu akiwa amevaa Skintight nyeusi ambayo ilionyesha tumbo lake la mimba.

Kulikuwa hakuna kificho kwa staa huyo wa vipindi vya maisha halisia vya TV, ikiwa mimba yake ilionekana wazo ikiwa imechora nguo aliyokuwa amevaa.
Staa huyo mwenye miaka 33, alionekana akiongozana na mama yake mzazi Kris Jenner na Scott Disick wakielekea katika mgahawa wa Nobu huko Malibu kupata chakula cha mchana.
Khloe alionekana akishukia upande wa dereva kwenye gari yake aina ya SUV akiwa na nywele ndefu aina ya blonde zikilalia usoni mwake.

Ingawa ujauzito wake ni wa wiki 30 sasa, bado anauwezo wa kutembea umbali fulani.

STAA KHLOE KARDASHIAN KARIBU ANAJIFUNGUA STAA KHLOE KARDASHIAN KARIBU ANAJIFUNGUA Reviewed by By News Reporter on 2/13/2018 08:32:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.