Loading...
Katika tafiti mbalimbali za saikolojia ya tabia ilionekana kwamba mtu akibaini kwamba kuna kitu anapata (rewards) baada ya kufanya jambo fulani inaongeza uwezekano wa mtu huyo kufanya jambo hilo kwa mara nyingine tena.
Kwa lugha nyepesi, hamasa ya kupata ndio humsukuma mtu kufanya jambo fulani. Kila mara akikumbuka kile anachopata baada ya kutenda jambo hilo basi moja kwa moja mtu huyo atafanya tena ili apate kile ambacho huwa anapata. Tamaa ya kupata kitu hicho( rewards) hujengeka katika akili. Inaweza ikawa furaha katika hisia ama kitu chochote ambacho ni faida kwake.
Kwa hiyo basi, kama unataka tabia yako mpya iwe endelevu ainisha faida (rewards) unazopata katika tabia hiyo mpya ili kuishawishi akili kwa urahisi. Hakikisha tabia mpya inakupata chochote (rewards) baada ya kuitenda. Ikikosa kipengele hiki ndani yake basi utajikuta unarudia tabia za zamani kwa sababu zilikuwa zinakupa kitu fulani (rewards) wakati ukizifanya.
Akili ikishatambua na kupokea kwa mara ya kwanza basi mara nyingine itakuwa rahisi kwako kufanya jambo hilo kwa sababu ile faida(rewards) uliyoipata itakusuma kufanya tena ili uipate.
You Deserve The Best!
Vicent Stephen
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

HAMASA YA KUPATA NDIO HUMSUKUMA MTU KUFANYA JAMBO FULANI
Reviewed by By News Reporter
on
5/08/2018 12:05:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: