Loading...

6 WAFARIKI KATIKA AJALI YA TRENI MOROCCO

Watu sita wafariki na wengine zaidi ya 80 wajeruhiwa baada ya treni kuacha njia na kufanya ajali nchini Morocco.

Kwa mujibu wavyombo vya habari vya ndani zaidi ya watu 6 wahofiwa kufariki na wengine zaidi ya 86 kujeruhiwa baada ya treni kuacha njia  karibu na mji mkuu wa Morocco, Rabat, siku ya jumanne.

Loading...
ly: Verdana, sans-serif;">Ajali ilitokea katika mji wa Sidi Bouknadel uliopo katikati ya Rabat na mji wa kaskazin magharibi wa Kenitra.

Picha zilizosambazwa kwenye kurasa za kijamii zinaonyesha mabehewa yakiwa yamepinduka, pia baadhi ya video zinaonyesha raia wema wakijaribu kutoa msaada. 

"Uchunguzi umeanza kufanyika kubaini chanzo cha ajali hiyo" ilisema taarifa iliyotolewa na mahakama kuu ya Morocco.
Na Neema Joshua.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
6 WAFARIKI KATIKA AJALI YA TRENI MOROCCO 6 WAFARIKI KATIKA AJALI YA TRENI MOROCCO Reviewed by By News Reporter on 10/18/2018 06:12:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.