Watu milioni 26 katika bara la Amerika ya kusini wanaishi katika umaskini uliopitiliza.
Gazeti la Ajentina El Perfil limeandika kwamba, Kwa mujibu wa takwimu za benki ya dunia, katika bara la Amerika kusini watu milioni 26 wanaishi chini ya dola za kimarekani 1.90.
Taairifa inaendelea kusema kwamba mwaka 1990 umaskini uliokithiri ilikuwa asilimia 14, mwaka 2015 ulishuka mpaka asilimia 4. mwaka huo wa 2015 asilimia 11 ya watu kipato chao kilikuwa chini ya dola 3.20 na asimilimia 26 chini ya dola 5.5 kwa siku.

Loading...
n style="font-family: Verdana, sans-serif;">
kwa mujibu ya takwimu za benki ya dunia kiujumla nusu ya watu duniani wanaishi chini ya ya dola 5.5.
Katika nchi zilizoendelea idadi ya watu masikini pia inaongezeka.
Ingawa idadi ya umasikini uliokithiri umepungua duniani, kuna watu bilion 3 na milioni 400 ambao hata kupata mahitaji yao ya msingi inakuwa shida sana.
Miaka thelathini ya hivi karibuni kiwango cha umaskiniuliokithiri kimepungua kutoka asilimia thelathini hadi asilimia 10.
Na Bakari Juma.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

BENKI YA DUNIA: WATU MILIONI 26 MASIKINI KUPITILIZA AMERIKA
Reviewed by By News Reporter
on
10/18/2018 06:04:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: