Wanasayansi nchini China wametengeneza kifaa ambacho kinaweza kuchaji simu na vitu vingine (nanogenerator), ambacho kitaweza kuvaliwa na kufuliwa.
Kwa mujibu ya habari kutoka shirika la habari la Chına Xinhua, Wanasayansi kutoka chuo kikuu cha Cıngcou eneo la Henan mji wa Cıngcou wametengeneza kıfaa ambacho kitatumika kuchaji simu na vifaa vingine vinavyo

Loading...
ndana, kifaa kina uwezo wa kubadilisha nishati inayopatikana kwenye mwili wa binadamu akiwa kwenye mwendo kuwa nishati ya umeme ( nanogenerator).
Tatızo la sımu ambazo selı zake huisha nguvu mara kwa mara sasa limepata suluhisho imefahamisha habari hio. Kifaa hichi ambacho hakiingii maji kinaweza kuvaliwa na kufuliwa bila kumuuzi mtumiaji.
Utafiti huu ulichapishwa kwenye jarida la Kemia A.
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

CHINA YATENGENEZA GENERETA LINALOWEZA KUVALIWA MWILINI
Reviewed by By News Reporter
on
10/18/2018 06:24:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: