Tamasha la maonyesho ya utalii linafanyika Zanzibar kwa lengo la kukuza uchumi. Sherehe, maonesho ya bidhaa na maeneo ya vivutio yanaoneshwa kwa wageni na wenyeji zaidi ya 1000.
Kwa mara ya kwanza Zanzibar imeanza kufanya Tamasha la Maonesho ya Utalii ikiwa ni jitihada za kuimarisha uchumi, wakati huu ambapo nchi mbalimbali Duniani zipo katika kuimarisha Utalii ili kutoa mchango zaidi katika kukuza Uchumi. Tamasha hilo la wiki moja limefunguliwa Jumatano katika viwanja na fukwe ya hoteli mpya ya kifahari ya Verde ambapo sherehe na maonesho ya bidhaa na maeneo ya vivutio vinaoneshwa kwa wageni na wenyeji zaidi ya 1000.
Zanzibar ambayo kw

Loading...
miaka mingi imekuwa ikitegemea Karafuu kama chanzo kikuu cha mapato yake, katika miaka ya hivi karibuni utalii umechukuwa nafasi ya kwanza ambapo zaidi ya asilimia 80 ya Fedha za kigeni katika hazina ya Serikali zinatokana na utalii.
Kila Mwaka watalii zaidi ya laki tatu wanatembelea Zanzibar, Lakini wakati Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Shein akifunguwa Tamasha hilo la utalii ambalo liliwashirikisha wageni na wanyeji zaidi ya 1000, Alisema Tamasha ni miongoni mwa mikakati ya kuongeza Idadi ya watalii kufikia laki tano ifikapo mwaka wa 2020.
Tamasha hilo pia linafanyika siku chache tangu dunia kuadhimisha siku ya kimataifa ya utalii ambao kauli mbiu ya mwaka huu ni "Umuhimu wa Teknolojia ya Dijitali katika Utalii Endelevu."
Na Mohamedi Rahu.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

TAMASHA LA MAONESHO YA UTALII ZANZIBAR
Reviewed by By News Reporter
on
10/18/2018 07:28:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: