UWANJA mpya wa Klabu ya Simba unaojengwa katika eneo la Bunju jijini Dar es Salaam, unatarajiwa kumalizika ifikapo Februari mwakani.
Ujenzi huo unaendelea kama kawaida licha ya kuwapo kwa madai ya kutekwa kwa mwekezaji na mwanachama wa klabu hiyo, Mohammed Dewji 'MO' ambaye ndiye anatoa fedha za kuendesha mradi huo.
Msimamizi wa ujenzi huo,

Loading...
Danny Matiku, alisema kazi ya ujenzi huo inaendelea kwa kasi kama ilivyopangwa na wanaamini wataikamilisha katika muda uliopangwa.
Msimamizi huyo alisema uwanja huo utakuwa ni wa nyasi bandia na kwa sasa pia wameshakamilisha uzio ambao unawatenganisha wachezaji na mashabiki watakaokuja uwanjani hapo.
Aliongeza kuwa baadaye watawakaribisha maofisa kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) ili kukamilisha vipimo rasmi ambavyo vinaruhusiwa na shirikisho hilo.
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

UWANJA WA SIMBA KUKAMILIKA FEBRUARI MWAKANI
Reviewed by By News Reporter
on
10/18/2018 07:10:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: