Msichana mmoja katika eneo la Bukura kaunti ya Kakamega - Kenya, anajutia kufichua siri kubwa ya mamake siku chache kabla ya harusi yake kwani mambo yalimharibikia.
Inasemekana kuwa mipango yote ya harusi hiyo ilikuwa imeshawekwa tayari. Kwenye maongezi yake na mumewe mtarajiwa, binti huyo aliamua kumfichulia siri, akimweleza sababu ya kuishi na bibi yake na kusoma akiwa kwa bibi yake.
Alisema kuwa mamake ni mchawi na kwamba kila mtu kijijini humuogopa kabisa.
"Najua utashtuka lakini ni vyema nikwambie ukweli. Mamangu amekuwa akifanya mambo ya uchawi kwa muda. Akikuroga hutapona.

Loading...
ata hufanye nini huwezi ukajiokoa," Alisema binti huyo.
Ni jambo lililomshtua sana jamaa huyo hata akaomba kushauriwa na familia yake kuhusu kumuoa binti huyo.
Wengi walimwambia asimuoe kwani hawangetaka kuwa na mashemeji warogi.
Jamaa huyo alisitisha harusi hiyo mara moja huku binti akilia.
Wengi walimkosoa jamaa kwa sababu msichana huyo alikuwa mwaminifu kwake hata kumwambia hayo ila jamaa aliisitisha.
Na Yohana Godfrey.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

VISA NA MIKASA: HARUSI YASITISHWA KISA MAMAMKWE MCHAWI
Reviewed by By News Reporter
on
10/18/2018 06:57:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: