Loading...
Bunge la Uganda imetanga rasmi kuwa Ijumaa, Novemba 30, ni siku ya kuomboleza kitaifa kwa waliopata ajali ya boti Ziwa Victoria, Naibu Spika, Jacob Oulanyah alisema.
Hii inafuatia baada ya kuzuka kwa mijadala kadhaa miongoni mwa wananchi na hata viongozi wa serikali kuhusu usimamizi na usalama wa safari za majini nchini Uganda, kwamba ni kunafanyika uzembe wa hali ya juu.
Ajali hiyo iliyotokea siku ya Jumapili, taarifa za awali zinasema maiti 33 zimeibuliwa na 66 bado hawajulikani walipo huku 26 pekee ndio walionusurika.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

AJALI YA BOTI UGANDA: BUNGE LATANGAZA SIKU MAALUMU YA MAOMBOLEZO
Reviewed by By News Reporter
on
11/28/2018 07:33:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: