Loading...
Kuna kila sababu ya kumkwepa ukimuona bui bui mweusi hasa jike. Mdudu huyo anasumu kali kiasi kwamba akikung'ata anaweza kukusababisha hata ushindwe kukojoa kwa kuwa sumu yake ina uwezo wa kuleta madhara katika mfumo wa mkojo.
Hii imetokea kwa mwanaume mmoja huko Canada. Baada ya kugundulika kuwa ameng'atwa na bui bui mwusi jike katika mguu wake, alionyesha hali iliyoitwa 'Pingamizi na Mkojo Kutoka', ikimaamisha alishindwa kukojoa ingawa kibofu kilijaa.
Mwanaume, 50, alikutwa na bui bui huyo akiwa matembezini katika nyasi ndefu kusini mwa Ontario, ripoti ilisema. Bui bui Weusi ni adimu sana Canada kutokana na hali ya hewa ya nchi hiyo, ingawa yanapotokea mabadiliko ya hali ya hewa huwa wadudu hao upendelea kuja katika maeneo ya nchi hiyo hasa Kaskazini.
Mtu huyo alipong'atwa kwa mara ya kwanza alidharau na kuona ni kama kung'atwa na nyuki tu kumbe alisahau kumbe huyu ni mdudu mwenye sumu kali zaidi kati ya wadudu wenye sumu.
Baadae maumivu yalivyozidi aliwahi hospitali kwa matibabu zaidi na ndipo alipogundua tena kuwa anashindwa kukojoa ingawa mkojo umembana ikabidi avutwe na mipira ndipo alipopata nafuu.
Na Frank Kavikule.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MFAHAMU BUI BUI MWENYE SUMU HATARI, AKIKUNG'ATA HAUPATI HAJA NDOGO
Reviewed by By News Reporter
on
12/30/2018 03:38:00 PM
Rating:

Je Bui Bui wote wana sumu
JibuFutaKwani Bui bui sumu yake haina dawa Kama walivyo wadudu wengine
JibuFuta