Loading...
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Barakah The Prince amedaiwa kuwekwa kizuizini na jeshi la polisi siku ya jana kwa kile kinachotajwa ni wizi kwa njia ya utapeli ambao Msanii huyo ameufanya.
Siku ya jana kuna video ilisambaa kwenye Mitandao ya kijamii iliyomuonyesha Barakah akiwa anabishana na maaskari ambao walikuwa wanamkamata na mara moja ilisemekana aliwekwa chini ya ulinzi na kupelekwa kituoni.
Stori za chini ya kapeti zinadai kuwa Barakah aliokuwa polisi Baada ya kudaiwa kufanya utapeli ambapo inadaiwa alimtapeli mdada mmoja kiasi Cha shilingi milioni tano kwa ahadi ya kumpa Penzi Lakini Baraka aliishia kuchukua pesa hiyo na kununua gari.
Ulipofika muda wa kumpa Penzi mdada Yule ambaye alikuwa amemzimikia msanii huyo alimpa taarifa kuwa yeye hawezi kuwa naye kimapenzi kwa kuwa yupo na Mpenzi Wake Naj, taarifa hizo zilimvuruga mdada huyo ambaye alihisi ametapeliwa kwani aliishia kumuitia polisi ambao walimtia Ndani.
Na Halima Kassim.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

BARAKA THE PRINCE MBARONI KWA TUHUMA ZA UTAPELI
Reviewed by By News Reporter
on
1/29/2019 08:09:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: