Loading...
Watu 66 wamepoteza maisha katika shambulizi la silaha lililofanyika katika jimbo la Kaduna nchini Nijeria ikiwa ni masaa machache kabla ya uchaguzi kufanyika.
Katika taarifa iliyotolewa na msemaji wa jimbo Samuel Aruwan, alisema katika eneo la Maro Gida watu wasiojulikana wamefanya mashambulizi kwa kutumia silaha na kuua watu 66 na kujeruhı wengine wengi.
Nchini Nijeria siku ya leo unafanyika uchaguzi mkuu wa rais ambapo wagombea wakuu ni rais alıyepo madarakani Muhammed Buhari na mgombea wa upınzanı kutoka chama cha demokrasıa ya jamii Atiku Abubakar.
Na Christian Richard.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

SAKATA LA UCHAGUZI NIGERIA: 66 WARIPOTIWA KUUAWA KWA SHAMBULIZI LA SILAHA
Reviewed by By News Reporter
on
2/16/2019 08:41:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: