Loading...
Mbunifu wa mavazi na Muigizaji wa Bongo movie Jacqueline Massawe maarufu kama Wolper amefunguka na kuweka wazi kuwa Hivi karibuni alifikia uamuzi wa kuuza gari lake.
Wolper ambaye alikuwa anamiliki gari aina ya Toyota Brevis, ameweka wazi kuwa ameamua kuuza gari lake hilo ambalo lilikuwa ndio Usafiri wake pekee ili anunue malighafi za kutengenezea magauni.
Katika mahojiano aliyofanya na Mtandao mmoja wa habari wa hapa nchini, Wolper ameweka wazi kuwa aliamua kuchukua uamuzi wake huo baada ya kupendezwa na matirio hayo alipokuwa nchini Dubai hivi karibuni.
Unajua mimi ni fundi cherehani hivyo nilivyofika nchini Dubai na kuwaona wadada wakipendeza kwa kuvaa magauni kama haya na nilipowaangalia niliona kabisa kuwa nayamudu kuyadizaini.
"Nilichoamua kufanya ni kuuza gari yangu na kwenda kununua matirio haya na kutengeneza magauni kadhaa ambayo kama hili na mengine nayauza. Kwa sasa natumia usafiri wa kukodi na hilo kwangu sioni shida."

Na Yohana Jacob.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
WOLPER AFULIA, ANATEMBELEA GARI YA KUKODI
Reviewed by By News Reporter
on
2/21/2019 11:21:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: