Loading...

UPINZANI WATOKA NJE YA BUNGE KISA LEMA

Wabunge wa upinzani wametoka nje ya kikao cha Bunge kinachoendelea mjini Dodoma baada ya Kamati ya Maadili kusoma ripoti iliyotoa adhabu kwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

Kamati hiyo imemtia hatiani Mbunge huyo kwa kudharau B
Loading...
nge kwa kuita Bunge ni dhaifu na hivyo kamati imeazimia Lema kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge kuanzia jana.

Utakumbuka siku moja iliyopita wabunge wa upinzani walitoka nje tena mara baada ya Mbunge wa Kawe, Halima Mdee naye kusimamishwa kuhudhuria mikutano miwili kwa kuunga mkono kauli ya CAG ya kusema mbunge ni dhaifu. 
Na Paskali Joseph.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
UPINZANI WATOKA NJE YA BUNGE KISA LEMA UPINZANI WATOKA NJE YA BUNGE KISA LEMA Reviewed by By News Reporter on 4/05/2019 08:22:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.