Loading...

AZAM MEDIA SASA IPO JUU KILELENI! SERIKALI YAIPA KIBALI KUONYESHA CHANELI ZA BURE

Loading...
Serikali imebainisha kuwa imekwisha ipatia Kampuni ya Azam Media Ltd leseni ya kurusha matangazo kwa chaneli za bila malipo na kwamba kampuni hiyo imeahidi kufunga mitambo yake nchi nzima kwa ajili ya kurusha matangazo hayo ndani kwa kipindi cha miezi saba. 

Hayo yameelezwa jana Bungeni na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye ambaye ameeleza kuwa Azam Media Ltd juzi wamepokea leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure. 

Nditiye amesema katika kipindi cha miezi saba watajenga mfumo wa kurusha chaneli hizo, hivyo wananchi wanapaswa kuvuta subira wakti hilo likifanyiwa kazi. 
Na Charles Samwel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
AZAM MEDIA SASA IPO JUU KILELENI! SERIKALI YAIPA KIBALI KUONYESHA CHANELI ZA BURE AZAM MEDIA SASA IPO JUU KILELENI! SERIKALI YAIPA KIBALI KUONYESHA CHANELI ZA BURE Reviewed by By News Reporter on 5/15/2019 07:15:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.