Loading...

NDEGE ZAGONGANA MAREKANI, WATU WATANO WAFARIKI

Loading...
Ndege mbili za walinzi wa pwani za gongana na kupelekea vifo vya watu watano na kuwajeruhi wengine 10 Marekani

Watu watano wafariki  katika ajali ya ndege mbili ambazo ziligongana Kusini-Mashariki mwa Alaska nchini Marekani.

Katika ajli hiyo mtu mmoja hajulikani halipo.

Kulingana na  taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari Alaska, ndege hizo  ziligongana katika  umbali wa kilomita 45 Kaskazini  mwa Ketchikan.
Na Mary Mkeu.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
NDEGE ZAGONGANA MAREKANI, WATU WATANO WAFARIKI NDEGE ZAGONGANA MAREKANI, WATU WATANO WAFARIKI Reviewed by By News Reporter on 5/15/2019 08:05:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.