1. Je wajua Asilimia 85% ya mimea inapatikana baharini. 2. Je wajua Masikio ya Tembo yanatumika kurekebisha joto lake la mwili. 3. Je wajua Bahari ya Antlantic inachumvi zaidi ya bahari ya Pacific.
JE WAJUA; UKWELI HUU WA KUVUTIA?
Reviewed by By News Reporter
on
2/01/2018 06:40:00 AM
Rating: 5
Hakuna maoni: