Loading...
1. Ainisha
unataka nini katika maisha yako.
Tengeneza
orodha ya mambo (MALENGO) unayoyataka katika maeneo mbalimbali ya maisha yako.
Kwa mfano upande wa kipato na fedha, familia, afya , na ushiriki wako katika jamii.
2. Tengeneza
mpango wenye mikakati utakayoifanya kukusaidia kufanikisha mambo uliyoyaainisha
(MALENGO).
3. Anza
kutekeleza mikakati uliyoiweka kwa kuchukua hatua. Usisite kuanza kisa jambo
fulani halijakaa sawa.
4. Ukiwa
katika kutekeleza mikakati uliyojiwekea fanya tathmini kila mara ili kubaini
kama mikakati hiyo inakusaidia kufikia malengo, kama haikusaidii jipange
kuibadilisha kwa kutengeneza mikakati mingine itakayokuwezesha
kufanikisha malengo yako.
Usibadili
malengo yako pale unapokutana na changamoto bali badili mikakati ya kufikia
malengo hayo.
You Deserve
The Best!
Vicent
Stephen
HATUA MUHIMU KUKUSAIDIA KUBADILI MAISHA YAKO – Na Siri ya Utajri
Reviewed by By News Reporter
on
2/01/2018 06:26:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: