Loading...

KANYE WEST SIKU YA VALENTINE YAMRUDISHA KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM

Loading...
Kanye West amerudi tena katika mtandao wa Instagram baada ya kukaa kimya kwa kipindi cha miezi 8 bila kutuma picha yoyote.

Mei 2017, Kanye West alifuta picha na habari zake zote zilizokuwa katika mitandao ya twitter na Instagram mpaka jana aliporudi kusherehekea siku ya Valentine akiwa na mpenzi wake Kim West pamoja na wapenda nao wengine 54 aliorusha picha zao kupitia mtandao wake wa Instagram.

Alituma picha ya kadi yenye ujumbe unaosema; "Furaha ya siku ya wapendanao mpenzi wangu" au "Happy Valentine's day babe".

Kufuatia post aliyorusha, Kanye alijaza ukurasa wake kwa kupost picha za watu maarufu wakiwa na wepenzi wao, wakiwemo; Brad Pitt and Angelina Jolie, Robert Kardashian na Kris Jenner, Princess Diana na Prince Charles, Whitney Houston na Bobby Brown, Cindy Crawford na Richard Gere, Jada Pinkett Smith na Will Smith, Aaliyah na Tupac na wengine wengi.

Na akamalizia na picha mbili za yeye na mkewe Kim West ambazo aliandika chini yake; 'Kimye'

KANYE WEST SIKU YA VALENTINE YAMRUDISHA KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM KANYE WEST SIKU YA VALENTINE YAMRUDISHA KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM Reviewed by By News Reporter on 2/15/2018 01:50:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.