Mbunge na mwanamuziki Bobi Wine leo anatarajiwa kurejea mahakamani mjini Gulu, Kaskazini mwa Uganda anapokabiliwa na mashtaka ya uhaini.
Bobi Wine na washukiwa wegine 32 wanatarajiwa kusomewa mashtaka yao kisha kesi hiyo kuhamishiwa Mahaka
Loading...
a Kuu. Mahakama ya mwanzo ya Gulu haina mamlaka ya kisheria kuendesha kesi za uhaini.
Baadhi ya washitakiwa wanaendelea kupata matibabu hospitalini na huenda wakashindwa kuhudhuria mahakamani ambapo watawakilishwa na mawakili wao.
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
BOBI WINE NA WASHUKIWA WENZAKE 32 KUREJEA MAHAKAMANI LEO UGANDA
Reviewed by By News Reporter
on
8/30/2018 09:14:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: