Loading...
pan>
"Mimi nina maisha yangu na Rich ana maisha yake, halafu mimi mwanamke siwezi kumwambia aachane na WCB au kumshawishi kuwa kinyume na uongozi wake," amesema Lulu Diva.
Hata hivyo, Lulu Diva, amekana pia kuwa chanzo cha mgogoro huo kwa kushiriki kimapenzi kwa wakati mmoja na Rich na bosi wa WCB.
Na George Vicent.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

PENZI LA MAVOKO NA LULU DIVA LAYEYUKA
Reviewed by By News Reporter
on
10/06/2018 01:21:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: