Loading...

ALIYEKUWA MLINZI WA 2PAC AUAWA BAADA YA KUDAI 2PAC YUPO HAI

Kulingana na mtandao wa 'The Sun' umeripoti kuwa Michael Nice ambaye aliyekuwa mlinzi wa zamani wa Marehemu Tupac Shakur amekutwa amefariki kwenye gari lake huku tarehe ya kifo chake ikitajwa kuwa ni December 18, 2018 huku taarifa nyingine ikitajwa kuthibitishwa na Kaka yake Johnny.

Mwezi Septemba, Michael Nice alishika vichwa vya habari kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuibuka na k
Loading...
dai kuwa Rapper Tupac yupo hai na amekua akiishi nchini Cuba na kusisitiza kuwa alipata msaada wa Rais wa zamani Fidel Castro kuwasili nchini humo.

Imeelezwa kuwa Michael Nice alitoa taarifa kwa kaka yake Johhny kuwa ana kikao na watu wa Millitary kutoka Uingereza baadae taarifa zikaripotiwa kuwa aliuawa kwa kupewa sumu huku kabla ya kifo chake inaelezwa alikuwa na mpango wa kufichua siri ya Tupac alivyotoroshwa mpaka kufika Cuba na alidai kuwa na Audio pamoja videos zenye ushahidi.
Na Haika Gabriel.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
ALIYEKUWA MLINZI WA 2PAC AUAWA BAADA YA KUDAI 2PAC YUPO HAI ALIYEKUWA MLINZI WA 2PAC AUAWA BAADA YA KUDAI 2PAC YUPO HAI Reviewed by By News Reporter on 1/04/2019 02:37:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.