Loading...
Masazo Nonaka, ambaye aliripotiwa na kitabu cha rekodi cha dunia kama ndiye binadamu mwenye umri mkubwa zaidi aliyekuwa hai, amefariki dunia akiwa na miaka 113 siku ya Jumapili.
Kitabu cha rekodi za cha Guiness kilithibitisha kwamba Nonaka alizaliwa mwaka 1905, na ndiye aliyekuwa binadamu mwenye umri mkubwa zaidi aliye hai.
Erika Ogawa,makamo wa rais wa Guiness nchini Japan alimkabizi Nonaka cheti rasmi cha kumtambua kama binadamu mwenye umri mkubwa zaidi mnamp April 2018.
Nonaka ni baba wa watoto 5 na alioa mwaka 1931.
Baada ya kustaafu alikuwa akijiburudisha kwa kuangalia mieleke ya Sumo kwenye runinga.
Na Richard Timoth.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

BINADAMU MWENYE UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIANI AAGA DUNIA
Reviewed by By News Reporter
on
1/22/2019 10:31:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: