Loading...
Waziri Ummy jana Jumanne, Januari 22, 2019 alipokea ugeni kutoka serikali ya Japan ulioongozwa na Bw. Koji Fujimoto ambaye ni Mkurugenzi wa Baraza la Mawaziri anayeshughulikia Sera za Afya na Balozi wa Japan Mhe Shinichi Goto.
Walifanya mazungumzo na kukubaliana kuimarisha ushirikiano katika Rasilimali watu ikiwemo kuongeza Madaktari Bingwa, VifaaTiba pamoja na kuimarisha huduma za Kinga hasa kwa wananchi wa vijijini.
Waziri Ummy Mwalimu aliishukuru serikali ya Japan kwa kuunga mkono jitihada wizara yake za kuimarisha Huduma za Afya nchini.
"Asante Japan kwa kuunga mkono jitihada zetu za kuimarisha Huduma za Afya nchini.🤝🇯🇵🇹🇿," aliandika Waziri Ummy kupitia ukurasa wake wa Instagram

Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
SERIKALI YA JAPAN YAHAIDI MAKUBWA KWA WAZIRI UMMY, IKIWEMO KUONGEZA MADAKTARI BINGWA
Reviewed by By News Reporter
on
1/22/2019 09:58:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: