![]() |
Muonekano Kim akiwa Katika Rasta za Fulani |
Kim Kardashian moja ya mastaa wasumbufu duniana kile kinachodaiwa ni bingwa wa wachafuzi wa mtandao, na anatumia hadhi yake ya umaarufu kuwanyanyapaa Waafrika na ingawa ameolewa na Mmarekani Mweusi.
Amefanikiwa kuifanya mtindo wa nywele aina ya Rasta za Fulani (Fulani Braids) lakini amekataa kuitaja Nigeria (Afrika) kuwa ndio waanzilishi wa style za nywele hizo. Kitendo hicho kimezua ghasia kubwa sna mtandaoni ya kijamii.
PICHA ZAIDI ZA KIM KARDASHIAN
Loading...
KIM KARDASHIAN AZUA GOMZO MITANDAONI
Reviewed by By News Reporter
on
1/30/2018 10:20:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: