Loading...
Kupitia wakazi wa majimbo ya Maine na Massachusetts waliopiga kura kuruhusu matumizi ya bangi karibia miezi 16 iliyopita. Pingamizi la kisheria lasisitiza bado hakuna kibali maalamu cha kuuza na kununua bangi katika majimbo hayo.
Imeperekea kuchanganya watumiaji wa bidhaa hiyo.
Ikiwa jimbo la Massachusetts wanatarajia kuanza kutoa 'Leseni' ya biashara ya bangi na kuruhusu vituo vya uuzaji wa bangi katika jimbo hilo lakini Mwanasiasa na Gavana Paul LePage katika jimbo la Maine ameendelea kupinga vikali biashara hiyo.
Imeendelea hali ya sintofahamu kati ya mawakili (au wanasheria), wafanya biashara na watumiaji wa bidhaa hiyo.
Na kuna wafanyabiashara ambao tayari wamewekeza nguvu kubwa wakitaraji huenda wangeanza biashara hiyo hivi karibuni lakini changamoto zimekuwa nyingi kutokana na vibali kusuasua.
Tayari mpaka sasa majimbo tisa (9) yameruhusu na kutoa vibali vya biashara hiyo lakini Massachusetts na Maine bado wapo katika maswali pia Serikali ya Marekani imeruhusu vibali kadhaa kwenye baishara hiyo kama itumike kama dawa, kiburudisho na hospitalini kwa matumizi ya matibabu.
BIASHARA YA BANGI VIBALI VYAZIDI KUIMARIKA NCHINI MAREKANI
Reviewed by By News Reporter
on
2/05/2018 01:31:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: