Loading...

MWANAMKE MMOJA AMFUMANIA MUMEWE ALIYEDAIWA KUAGA DUNIA

Loading...
Mwanamke raia wa Ghana amedaiwa kuzimia wakati wa Pasaka baada ya kumuona mume wake aliyedaiwa kuaga dunia miaka miwili iliyopita. 

Baada ya kumuona mume wake huyo, mwanamke huyo alipatwa na mshtuko na kuanza kufuatilia nyayo za bwana huyo.

Kwa mujibu wa ripoti ya Ghanaweb, mwanamume huyo, 55, alikuwa akitembea na mwanamke mwingine ambaye umri wake ulitajwa kuwa miaka 25. 

Aliwafuata hadi gesti walikokuwa wakikaa kwa kipindi hicho cha sherehe za Pasaka na alithibitishiwa na meneja wa gesti hiyo kwamba walikuwa hapo toka siku kadhaa za nyuma.

Alisikitika sana na kuamua kuwaita polisi kumsaidia kuzungumza na mume wake lakini kwa bahati mbaya, bwana huyo na mpenzi wake walikuwa wameaga dunia. 

"Walifika wakiwa walevi sana na kuanza kupigana mabusu makali marawalipochukua fungua za chumba chao, hatujui kilichotokea baadaye," meneja alisema. 

Kisa hicho kilithibitishwa na kamanda wa poisi wa Kwaku, Ghana aliyehojiwa na moja ya redio eneo hilo.
Na Mary Mkeu.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MWANAMKE MMOJA AMFUMANIA MUMEWE ALIYEDAIWA KUAGA DUNIA MWANAMKE MMOJA AMFUMANIA MUMEWE ALIYEDAIWA KUAGA DUNIA Reviewed by By News Reporter on 4/26/2019 09:29:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.